Shilole
(kati) akipata picha ya pamoja na Bwn. Idd Sandaly(kushoto) Rais wa
Jumuiya ya Watanzania DMV na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya sherehe
ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa kiswahili Marekani
litakalofanyika Jumamosi July 6, 2013 Capitol Heights, Maryland. Kulia
ni mwenyekiti wa kamati hiyo ya maandalizi, Bwn. Baraka Daudi.
Katibu
wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha
la Utamaduni wa Kiswahili Marekani, Bi. Asha Nyang'anyi katika picha ya
pamoja na Shilole kwenye TAMCO famuly day iliyofanyika Jumapili June 30,
2013.
Halima Ali (kati) akipata picha ya pamoja na Masanja Mkandamizaji na Shilole.
Wadau wa DMV wakipata picha ya pamoja na Shilole na Masanja.
Muhtar akipata picha ya pamoja na Masanja.
Mrs Haward katika picha ya pamoja na Masanja na Shilole.
Wadau katika picha ya pamoja na Shilole.
Mr & Mrs Sebo wakipata Ukodak moment na Shilole.


Kaka,
ReplyDeleteSasa huyo MASANJA kwa nini aliamua kuwatangaza WATANI WA JADI badala ya NCHI YAKE MWENYEWE jamani?
Ni makusudi au alijisahau?
Khaah!
Huyo Masanja kwani ni Mkenya au Mtanzania? mbona kavaa T-shirt yenye nembo ya Kenya?
ReplyDeleteWabongo bwana ujinga umewatawala. Masanja yupo nje ya Tz anapaswa kuitangaza Tanzania lakini ona amevaa T-shirt ya Kenya. Ooooooovyo kabisa na uigizaji wake!
ReplyDeleteMHHH! SASA WEWE MASANJA KUVAA T-SHIRT YA KENYA NDIYO NINI? OVYOOOOO000000!!
ReplyDeleteHUU KWELI NI UDHAIFU KWA WASANII WETU,YAAN DHUMUNI MOJA WAPO KUTOKA NJE YA NCHI NI KUTUWAKILISHA NA KULITANGAZA TAIFA LETU SASA IWEJE NAFUNGUA PICHA NAMUONA MSANII WETU WA KITANZANIA TENA KATIKA WALIYO JUU KATIKA FANI UA UIGIZAJI NA VICHEKESHO AKIVAA FLANA ILIYOANDIKWA KENYA,SIJUI,NAUOMBA MNIELEWE SINA UHASAMA NA MAJIRANI ZANGU BUT KIHALISI NINGETEGEMEA KUONA TANZANIA ZAIDI KAMA MWAKILISHI WETU,HEBU TUJITAMBUE JAMAN MB0NA SIO JAMBO GUMU SANA HASA UKIZINGATIA SAFARI YENYEWE UNAHUSIANA NA ASILI YETU WATANZANIA AMBAO TUNAJIVUNIA NA LUGHA YETU THEN MWAKILI KAMA HUYU ANAKUWA HAJITAMBUI.TUBADILIKE
ReplyDeleteNYIE MBONA MNA TSHIRT ZIMEANDIKWA USA?
ReplyDeletejamani musimlaumu sana nikutojuwa nini anakifanya mpaka hapo alipo hajajuwa chochote kile ..elimu ni kitu kimoja kizuri na huyu mtu ni zero kwenye kichwa chake
ReplyDeletekufika usa sio sababu
Acheni uchelema wa akili nyie. Ile ni t-shirt ya kawaida tu kama zilivyo t-shirt zingine!
ReplyDeleteWatanzania kweli tumekosa utaifa, T-shirt ya Kenya nje ya nchi, what is that? Kavaa mradi kavaa pasipo kuangalia yuko wapi na anaitangaza vp nchi ya Kenya na si Tanzania.
ReplyDeleteni ujinga ujinga tu! Kenya????
ReplyDeleteHili jinga kabisa hili! badala ya kutangaza nchi yako unakengeuka! Ubiishiiii tu!
ReplyDeletehapo thamani yake imeshuka sababu anaonekana hana utaifa kabisaa.WaTZ wengi hawana utaifa mpaka raisi wetu maana leo kwny ugeni wa OBAMA wimbo wamataifa ulipokuwa ukipigwa OBAMA anaweka mkono kwenye kifua kuashiria upendo wa nchi yake kwa moyo wake wote ilihali mwenyeji wake hafanyi hivyo kuonyesha uzalendo wa nchi.
ReplyDeleteMasanja jifunze na rekebisha haraka sana la sivyo next time utajikosesha mialiko kwa kuvaa vitu vya wenzetu, mana hapo huonyeshi ucommedian hata kidogo bali ni kuidharau nchi yako ya Tanzania. Shilole msaidie mwenzio mueleze aelewe asilete utani.
ReplyDeleteNyie wote munaomulaumu Masanja Mwanawani ndiyo munautindio wa ubongo. Masanja hakwenda nje kutangaza utalii. Kazi yake kubwa ni kufanya watu wacheke au wawe na gumzo, na kwa kuvaa Kenya wakati anatoka TZ tayari keshafanya kazi yake. Ama mukatae au mukubari hivyo ndivyo ilivyo.
ReplyDeleteAnony mmoja kasema juu ya elimu. Binafsi sijui kiwango cha elimu ya masanja, lakini ninataka kukuhakikishia anony kuwa wachekeshaji wote huwa ni genous, na wanamuziki maarufu pia. Kwa hiyo anony usilee ujinga kwa kudhani kuwa akili ni kumaliza chuo kikuu. Je, waliohitimu vyuo vikuu kwa vyeti vya kuchonga unasema nini juu yao! Wana akili kama yako, sio?
Pengine Wakenya ndiyo waliyo mfadhili! Ataachaje kucheza ngoma yao!
ReplyDeleteWa Tz sisi ni pungufu katika uzalendo wetu. Hakuna mwenge ahueni pamoja na mimi! Sababu za mapungufu hayo ziko nyingi. Mosi. Tunafuata nyayo za Viongozi wetu bila kufikiri, kutafakari na kuchambua kisha kuto maamuzi magumu.