Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI






Hilda Ausi Gondwe huyu mama kichwa .Kikwete tunakushukuru kwa kumrudisha mama mstaafu serikalini..Alikuwa katibu mkuu wetu wizara ya afya pale mama gondwe alikuwa poa mnoo.Hongera Hilda Ausi Gondwe hawa ndio wastaafu tunaowahitaji.Big up Kikwete nimefurahi kweli kumuona Huyu mama gondwe hapo very humble huyu mama
ReplyDeleteMAMA GONDWE is back .Chezea mama gondwe
ReplyDeleteJaji Msumi nae swaaaafi hana makuu.
ReplyDeleteMara moja moja utamkuta pale Temeke kakaa kibarazani kimiyaa.Asante kwa kuendelea kulitumikia Taifa Jaji.
Kumbe mama Gondwe baba ake Dr Waane wa makumbusho na muona Kwenye Picha hapo .
ReplyDelete