Swahili TV itatoa tuzo za heshima mwaka huu 2013, kwa mara ya kwanza kwa wadau waliojitoa kusaidia  jamii zao. Washindi watatoka katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, pamoja na  Zambia, na Congo DRC. Tutatoa taarifa hapo baadae vigezo na jinsi ya kushiriki, wapi na lini tuzo zitatolewa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2013

    Hongera sana Swahili TV !

    Kwa kuiweka Afrika ya Mashariki na majirani Zambia na Congo DRC juu ni suala la muhimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...