Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2013

    inna lillah wa inna ilayhi rajium, Allah amjaalie kuwa katika kundi la waja wema na awape subra na mwisho mwema wafiwa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2013

    innalillah....
    Said masimango! mola akulaze pepa mwalimu wangu wa Mathematic miaka ya mwanzo ya tisini hapo Alharamain.
    R.I.P teacher masimango

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2013

    Said,

    you will be missed by your class mates of Science3 PCM class-Usagara High School 1986-88.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2013

    allah amfanyie wepesi katika safari yake hii na amlaze pema peponi amin

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2013

    R.I.P Said Masomango. jamani nakukumbuka pale hyderabad tukiwa osmania university. Poleni sana wana familia. Mungu ni mwema atawapa tumaini na nguvu katika hiki kipindi kigumu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2013

    RIP Bro Said.Mmoja kati ya wanafunzi mahiri waliopita shule ya Azania Miaka ile

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2013

    R.I.P Masimango! what a confident and talented brother he was! Tutakukumbuka brother.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 23, 2013

    HAkina sisi sote ni wa Mwenye ez Mungu na kwake ni marejeo yote, Allah amjaalie pepo Amin

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 23, 2013

    Rest in peace mwalimu wangu wa Hesabu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 24, 2013

    Innalilah .......Mwenyezi mungu S.W akurehemu.Kaka yetu daima tutakukumbuka na tutakuwa nawe katika fikra na nafsi zetu daima. May Allah S.W rest his soul in eternal peace. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...