Home
Unlabelled
TAMKO LA CCM DMV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Siyo kila mtanzania anayeishi DMV ni CCM. Kwahiyo ni vizuri kuwaalika wana-CCM na siyo watanzania wote.
ReplyDeleteNadhani ni bora ukatuwekea kijiwe cha ughaibuni kuliko haya mambo anayoyazungumzia dada salma moshi.
ReplyDeletetaarifa imejaa kigugumizi
ReplyDeleteMkutano tarehe 7, leo tarehe 4 unasema 'tutawaambia mahala pa mkutano baadae..."
ReplyDeleteunahimiza watu waje kwenye mkutano halafu pa kukutana we mwenyewe hupajui!!
Watanzania mambo ya kuji organize ni zero... na maendeleo is all about kuji organize...hatujui kuji organize.