Familia ya Mr. A Alfaghee inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa MAIMUNA FATMA KARUMBA kilichotokea jana London UK.
 Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki mchango wako wa dhati unahitajika ili kufanikisha maziko ya Binti Yetu Mpendwa, Ambayo Yamepangwa Kufanyika IJUMAA TAREHE 26 July 2013. 
Gharama za maziko ni £3000 tunaomba chochote ulichonacho ilikufanikisha maziko haya. Michango yote inwekee kwenye account ya
  MR A ALFAGHEE
Sort 09-01-27
Account Number 11832254
Santander.
Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu
R.I.P MAIMUNA FATMA KARUMBA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2013

    Poleni kwa msiba wafiwa. Lakini mbona taarifa yenyewe haijitoshelezi? Hujasema msiba upo wapi hapa London na kwa nani, kwani wengine wangeweza kufika msibani na kutoa rambi rambi zao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2013

    Msiba uko kwa mama wa marehemu janet chalamila,134 bream close,ferry lane.london n17

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2013

    Poleni wafiwa. Kwa taarifa tu, kama mfiwa na marehemu hawana kazi au wana kipato cha chini, serikali ya UK inagharamia mazishi. Jaribuni kwenda msikiti ulio karibu na nyinyi hapo London mkapewe maelezo zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...