Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
yaani hii serikali siielewi. upanuzi wa uwanja wa ndege uliopo katkati ya mji? come on!! is this not craziness??
ReplyDeleteMswmaji hapo juu naona kama Bukoba Airport uielewi vile! Uwanja uko pembezoni mwa mji na karibu na ziwa Victoria.
ReplyDeleteNingeomba upongeze hatua hii maana mkoa wa Kagera huwa haujulikani uko nchi gani maana hata marais wanaokuwa madarakani kutembelea ni wakati wa kampeini tu.
hongera wakazi wa Kagera nayi mmeingia kwenye ramani ya Tz.
Mswmaji hapo juu naona kama Bukoba Airport uielewi vile! Uwanja uko pembezoni mwa mji na karibu na ziwa Victoria.
ReplyDeleteNingeomba upongeze hatua hii maana mkoa wa Kagera huwa haujulikani uko nchi gani maana hata marais wanaokuwa madarakani kutembelea ni wakati wa kampeini tu.
hongera wakazi wa Kagera nayi mmeingia kwenye ramani ya Tz.
ni kweli huwa hawatembelei kwani wanachotaka na kuvuna mali na kuzipeleka Dar. siku moja tutakuwa kama wananchi wa Mtwara.
ReplyDeletekaka hapo sio pembeni ya mji. hapo ni mjini. ndege ikitua hata ndogo inapiga kelele mji mzima