Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu wa kushona nguo za kike vizuri na kiume kidogo.

Sifa
  • Awe hajaoa wala kuolewa
  • Uwezo wa kuisimamia Biashara hiyo mwenyewe bila mtu nyuma yake
  • Awe tayari kufanya kazi Miswe Mlandizi ambako ndo kituo cha kazi
  • Mzoefu zaidi kwenye nguo za kike new fashion.
  • Awe tayari kuanza kazi maramoja.
Mambo mengine; Atapata malazi na chakula atakapoanza kazi hadi Biashara ikikaa vizuri atajitegemea. Preferred wadada kulingana na nature ya Mazingira ya kazi.
Wasiliana nami kwa namba za simu hapo chini.
0754 840487 na 0653 264 566 au inbox me at  agape_nchimbi@yahoo.com
Mdau

Nauza printer heavy duty machine aina ya Minolta 350Di ipo katika hali nzuri kabisa na mara ya mwisho nimetoa kopi 34,000 ndani ya siku tatu bila matatizo. Naiuza kwa sababu naleta mali mpya Yaani machine mpya, nabadilisha vitendea kazi vyote kwenye ofisi yangu hivyo hivi naviuza kupisha nafasi kwa vifaa vipya. In any case nauza hata kama scraper. Lazima vitoke, bei maelewano tu. Machine hii ilinunuliwa Netherlands kwa maana hiyo ni original brand.
Tafadhali kwa mawasiliano zaidi  nipigie kwa namba hizi     0754 840487 na 0653 264 566 au  inbox me at  agape_nchimbi@yahoo.com
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2013

    Uwe hujaoa au kuolewa, what a selection criteria is that? I wonder what other tasks will this person be performing, good luck with your selection process, u will definitely not get me.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2013

    na awe mwanamke? Sijui interviews zitafanyika wapi?

    ReplyDelete
  3. Hahahaha, eti hajaoa wala kuolewa, ili iweje?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2013

    awe hajaoa au kuolewa, unatafuta fundi cherehani au model? au una biashara nyingine under cover na hiyo ya ufundi ni kwa ajili ya ku-cover tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...