Home
Unlabelled
TEMBEA UJIONEE...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si mnang`ang`ania kila kitu dar tu yapo mengi kweli ya ajabu yanayotokea pembezoni lakini hayajulikani,laiti kama ingelikua sehemu kama hizi zinamulikwa mara kwa mara nadhani watu wake nao wangepata nafasi ya kujifunza na kuelewa zaidi.Ivi kweli ktk hali ya kawaida kwa hapo Dar waweza ona kitu kama hiki??jibu hapana, kwahiyo ni wakati muafaka sasa kusambaza ustaarabu huko pembezoni ili matukio ya ajabu ajabu yakome.
ReplyDeleteSiku moja dereva kichwa maji atawafundisha a lesson they will never forget
ReplyDeleteMacho hayaoni uchafu kama huu au zaidi mitaa ya Kariakoo, Ubungo na kwengineko kiasi kwamba imekuwa kero matumizi ya barabara? Wafanyabiashara ndogondogo wanatusumbua sana kwa mtindo kama huu lakani eti hamuoni kama ni ajabu.
ReplyDeleteVyote ni uchafu! Ndio uchafu ni kitu chochote kuwa mahali kisipostahili.
sesophy03
Ni Tanga hapo!
ReplyDeleteNie mwayaona mahindi eee! mna macho kweli? Tanga hiyo.