Kamera ya Globu ya Jamii hivi karibuni ilikutana na taswira hii ya kuanwikwa kwa mahindi kwenye Kituo cha Mabasi katika kijiji cha Hale huko Mkoani Tanga,kitu ambacho ni tofauti na matumizi yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2013

    Si mnang`ang`ania kila kitu dar tu yapo mengi kweli ya ajabu yanayotokea pembezoni lakini hayajulikani,laiti kama ingelikua sehemu kama hizi zinamulikwa mara kwa mara nadhani watu wake nao wangepata nafasi ya kujifunza na kuelewa zaidi.Ivi kweli ktk hali ya kawaida kwa hapo Dar waweza ona kitu kama hiki??jibu hapana, kwahiyo ni wakati muafaka sasa kusambaza ustaarabu huko pembezoni ili matukio ya ajabu ajabu yakome.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2013

    Siku moja dereva kichwa maji atawafundisha a lesson they will never forget

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2013

    Macho hayaoni uchafu kama huu au zaidi mitaa ya Kariakoo, Ubungo na kwengineko kiasi kwamba imekuwa kero matumizi ya barabara? Wafanyabiashara ndogondogo wanatusumbua sana kwa mtindo kama huu lakani eti hamuoni kama ni ajabu.

    Vyote ni uchafu! Ndio uchafu ni kitu chochote kuwa mahali kisipostahili.

    sesophy03

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2013

    Ni Tanga hapo!
    Nie mwayaona mahindi eee! mna macho kweli? Tanga hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...