Home
Unlabelled
TID EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SPORAH SHOW
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I don't get it?? If he was willing to speak English why does Sporah speak in Kiswahili?? Clearly this TID boy wanted to speak English, and he speak very well, and clear too. Sporah, what is going on here? Normally Sporah would speak Kiswahili when the guest does not speak English like Diamond platnumz, Lina and the other None English speakers, but TID knows English well.
ReplyDeletekwi kwi kwi I love TID a lot! He's real and straight to the point! Sporah that was kind of rude to tell someone "looks unhealthy" Not a very polite comment! If that would have been a white man, he would have walked out of that interview really quick!!! He also changed his attitude after Sporah told him he looks unhealthy!!!LOL!
ReplyDeleteSporah you need to pick your questions wisely without putting down your guest!!!TID is right you picked the most humiliating questions for him. "mdokozi" "ana omba vichungi vya sigara club" "he looks unhealthy" " he is an angry man" this is just horrible!!!! But I like TID for standing up for himself! you'll never hear Oprah asking guests questions like that or Ellen de generes or Wendy Williams!!! this interview went really bad for both Sporah and TID! A hot mess!
ReplyDeleteMtoto wa JAH-KAYA ni Ngwea wewe TID.
ReplyDeleteI love sporah uwiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteFashion Police
ReplyDeleteWendy William Show
The Sporah Show
Ukweli Ukweli Ukweli this is the way forward, huku Marekani hata celebrity akifanya nini anaulizwa na Media inaandika, FREEDOM OF SPEECH.
Naomba Sporah uende Tanzania ukawahoji wanasiasa, uwape maswali yoooooote wananchi watakayowauliza hata kama niswali la kijinga kiasi gani wanaruhusiwa kukuuliza, ndio maana ya kuwa STAR. Kweli Sporah nimependa sana Interview yako, we need more of this, plse naomba ukawakamate wanasiasa Bongo. Keep up the good work girl, Nakupendajeeeee
Tafuteni managers wawafundishe jinsi ya kudeal na media, kina Paris Hilton wanafundishwa hata jinsi ya kusmile kwenye red carpet.
ReplyDeletei love confident women, Sporah wapi nyumbani nipeleke mahari?
ReplyDeleteMahojiano si mazuri
ReplyDeleteTID anayo haki ya kujibu alivyojibu.
(b) Sporah unatakiwa uwe makini sana
ktk maswali ! unarudia sana
maswali yasiyo na msingi,inabidi ujiandae kabla ya kipindi
(c) Sporah,Jaribu sana kujenga kuliko Kumbomoa msanii,mfano umapomwambia TID huna afya nzuri.mwenye kajibu mzima,bado unasisitiza kwa kusema watu wanasema ! TID hana afya? ni otuvu wa nidhamu,Nadhani kipindi chako kifanye kiwe na mvuto pia kiwe daraja la kuwatambulisha wasanii sokoni,
Maswali unayouliza ni ya kitoto tena Upuuzi
TID JUST LIKE U..KWAKWELI NAWALA SIJAONA UBAYA WA SPORA JINSI ALIVYOKUWA ANAMUULIZA MASWALI.NAKUMUKA KWENYE SHOW YA MKASI PIA MAJIBU YAKE YALIKUWA HIVI HIVI SO NDIYO ALIVYO..ILA TID..AFYA YAKO C NZURI SHAURI YA SEMBE SO USIPOTAFUTA NJIA YA KUACHA BC DUNIA ITAKUWACHA..
ReplyDeleteTell It Like It Is I Respect That TID DUDE For That,My First Time To See His Interview And I Liked It,Give Him A Round Of Applause
ReplyDeleteKANIFURAHISHA ALIPOMWAMBIA HUYO DADA KWANI WEWE HUTOKI NJE YA UHUSIANO?Hahahaaa LOL
TID I like your confidence. Concentrate with your MUSIC achana na maneno ya mitaani. Kwa confidence ulioonyesha naamini utaweza kupambana na hawa wambea na kuendelea kutuburudisha.Be POSITIVE as you are case remember Bobgo people like BAD NEWS na kuona mtu anaanguka!!!!!!!!!!
ReplyDeleteBEST WISHES
TID hakika ni mnyamaaaa nimekubali!! Hujaogopa kitu umejibu maswali kwa kujiamini kabisa na umesimama vyema na kujitetea kama ipasavyo!!! Hands down TID! Sporah, inaonekana hukuwa umejiandaaa kumuhoji TID ndo maana interview imeeenda ilivyoeenda, imekuwa ngumu kwako na ngumu kwa anayehojiwa! Next time prepare yourself Sporah.
ReplyDelete...wewe mdada wa sporah show..jitahidi sana kusoma alama za nyakati.DEFORMATION OF CHARACTER ni kitu unachotakiwa kukijua na kuwa makini nacho muda wote.sijui una medical knowledge gani na taarifa yakinifu zipi zilizo pelekea wewe kumuhoji Mr.TID kuwa hana afya nzuri.sijui kama una medical records zake na kama unazo umezipata wapi na kwa idhini ya nani?..hakuna free of speech inayo haribu ya ndani ya mtu kama hayajathibitishwa na wataalamu na yakawekwa hadharani..naishi dunia ya kwanza na sijaona sijasikia Oprah,Elen D or Wendy W. anauliza swali la kijinga na la kukosa busara kwa kiasi hicho.Mimi si mpenzi wa TID ila kama mtanzania mwenzangu na msanii mkubwa nchini nimeona amekosewa heshima,amezalilishwa,na alikua na haki ya kukatisha mahojiano mara moja.Nakusifu TID kwa kujibu maswali yote kwa makini na kwa utulivu.Endelea kukuza muziki wako,endelea kuwa kioo..kumbuka ustaarabu ghali na unachukua miaka kuzoeleka..watu hawajaona wasanii wenye nyodo..wanakusema wewe tuu sababu ni mtanzania na kama kawaida yetu tumezoea kushushana..pole sana na i hope sporar amekuomba msamaha off camera.
ReplyDeletethanks
mdau USA.