Home
Unlabelled
tujikumbushe ziara rasmi ya Baba wa TAifa Mwalimu Nyerere nchini Marekani mwaka 1963
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tanzania kwa kweli tuko juu toka time in memorial, ila sijui nani katuloga maana tulipaswa tuwe mbali sana. Au tume jiloga wenyewe. Uvivu, kutafuta njia za mkato hata katika masomo, ubinafsi, kutafuta utajiri wa haraka haraka, na ushamba wa kuiga hata tusivyo vijua ni sehemu tu ya uchawi.
ReplyDeleteUko sawa
DeleteSimply genius. Speaking from the heart making optimal use of his head. Where are did the days go?
ReplyDeleteMungu awalaze mahala pema peponi wote waliopo kwenye video hii...Ameen
ReplyDeleteNyerere my first black president j k nyerere
ReplyDeleteNamwona Kambona akiwa bega kwa bega na mwalimu
ReplyDeleteHuii nimeelia Mpaka Basi .Ehh mungu baba tunashukuru kwa kutupa Nyerere.Vijana wasiku hizi Hawajui tulipotokea.Nyerere alikuwa analindwa Huyu baba gari lake lilikuwa linaenda kasi mnoo .Hatukupigana kutaka peace tuliomba nchi yetu kwa Amani .Sasa hivi watoto msojua ugali wa yanga,mkate wa Siha kutaka kumtusi huyu founder wetu .Utasikia alikuwa Dictator tunawaangia tuu,Sio rahisi Kuwa na mabadiliko
ReplyDeleteMnahitaji kujipanga haswa haswa haswa.Apo mnamuona baba Nyerere Nchi ameachiwa hujui ulishe vipi Watu wanywe nini umeme nakadhalika .Aliwageukia urusi na mchina kwa msaada .Alifanya kazi kubwa mnooo na sisi tulikuwa Kimya .Nyerere alisomesha Watu wengi Harvard university na wote walirudi nchini.MUNGU ATATUOKOA .maana mtakapotaka mabadiliko mjue ni kazi
Mnoo
Unamwona baba wa taifa anavyoongea point kwa ufasaha mpaka raha.
ReplyDeleteMy hero Mwalimu RIP, intelligent, articulate and very hard-working.
ReplyDeleteNimelia machooozi mengi sana baada ya kuangalia hii speech!! hakika Nyerere alikuwa mtu wa kipekeeeeee. Alipenda Amani,Umoja,Upendo na ujamaa kwa kila mtanzania. Where has time gone? I miss Nyerere so much. Ona anavyooongea kwa confedence yaani hana wasi wasi hata kidogo. God bless America and God Bless Tanzania.
ReplyDeleteWow! this amazing and exciting indeed, those were old good days so speak.
ReplyDeleteHivi ni lazima watu wakiongea wawaseme vijana?? Hebu tupunguze mawazo hasi, kama kuna kijana alilokosea apewe ushauri na siyo kila uchao vijana wa siku hizi, vijana wa siku hizi. Yes vijana wa siku hizi hawakula Yanga wala huo mkate wa Siha (kama kuvila ndo kunakufanya uwe mtanzania kweli).
ReplyDeleteToeni ushauri wa maana wa kuwasaidia vijana na siyo kujisifu kuwa zamani maisha yalikuwa mazuri. Waliouza nyumba za serikali zilizoko Oysterbay na Masaki ni vijana wa siku hizi?? Wanaopita barabarani na mishangingi ya mamilioni ya shilingi ni vijana wa siku hizi?? Walioua azimio la Arusha ni vijana wa siku hizi??
Cha kusikitisha ni watu wachache sana wanaoishi kama Nyerere alivyokuwa akiishi, mdomoni mnasifu Nyerere lakini matendo yenu yanampinga.
Video nzuri sana kwa kumbukumbu. Michuzi tuwekee video ya Obama ya juzi na Mhe. Raisi pia kwenye press conference. Tanzania tupo juu sana.
ReplyDeleteNBC,THB,CRDB, Kilimanjaro Hotel,New Africa H, Posta na simu, Nasaco, Tanesco, Bora shoe, Air, Tanzania, Tazara, Sigara,Chuma,Bia, Mtibwa sugar, Bima, TRC, RTC, Mamlakas: pamba, mkonge,Karafuu, samaki, kahawa,chai,korosho,pareto,nk. Urafiki, Mwatex, Mutex, Wazo Hill, Kamata, Chibuku, Maziwa mara, Keko madawa, Dahaco, Baiskeli, Sido, national milling, uda,.........
ReplyDeleteKwa wabongo wenzangu,we all owe this great man " JKN". Amefanya mengi, juu yetu kuendeleza mazuri na kujifunza kutoka makosa, kama alivyosema huko nyuma. I miss him sooooo much!!!!! May God rest him in peace!! Pumzika baba, tutaendeleza urithi uliotuachia, "uzalendo na amani" utajiri wa fikra. Alipenda watoto, watu wote eeeh Mungu tusaidie watz, watoto wanatolewa innocence wachanga kuona miili inalipuliwa mabomu!!! Jamani siamini hii ni nchi yangu Tanzania?!!!!!! Mnalalaje usingizi enyi mfanyao maovu haya??? Machozi yanitoka sioni, naishia hapa.
ReplyDeleteYani I admire Nyerere so much watu walifundishwa na mkoloni hao, very coonfident, hatafuti maneno watu siku hizi hata speech hawajui ni aaaa aaa mmmh nyiingiiii. RIP Nyerere
ReplyDeleteKama inawezekana jamani vity kama hivi viwekwe kwenye makumbusho ya taifa ili vizazi vipya navyo viweze kuona na kujifunza.
ReplyDeleteGod Bless Tanzania!