Crown Prince Philippe (53) ameapishwa leo kuwa mfalme mpya nchini ubeligiji, Prince Philippe sasa anakuwa mfalme Philippe , anachukua kiti hicho cha kifalme kutoka kwa baba yake mfalme Albert II (79) ambaye amejiuzulu kutokana afya yake. Mtawala mpya wa Ubelgiji King Phillipe mwenye umri wa miaka 53,ameapishwa leo 21.julai.2013 kufuata na katiba ya nchi hiyo.
Mfalme Albert aliemaliza muda wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2013

    Hawa nao wako nyuma kweli. Mfalme ana retire? Huwa anakufa ndipo anarithishwa...wajiachie tu haya mambo hawayawezi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2013

    Hajamaliza "muda wake", Amejiuzuri ili mwanawe awe Mfalme.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2013

    Anon wa mwanzo we huyajui haya mambo...malkia wa udachini , mfalme wa qatar na huyu wa ubelgiji wameamua na kikatiba inawezekana kung'atuka ,unataka wote wawe kama malkia wa uk ? kidingi king'ang'anizi ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2013

    yule bibi wa uk wanae wote wanazeeka bado kakomaa tu kila akienda kufunguliwa ile stoo yao iliyohifadhiwa dhahabu walizoiba afrika anazidi kuingia hamu kuwepo kwenye umalkia

    huku udachini mama yetu sio mwenye tamaa kamuachia mwanae sababu familia ni ileile tu sio huyo bibi wa uk kadatishwa na wajamaica kwa moshi wa bange.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2013

    USIWE NA DONGE NA BIBI YETU WA UK. TUTAENDA NAE MPAKA IWE ASUBUHI TUMTOE NJE AOTE JUA, JIONI TUMRUDISHE NDANI NA KUMKOKEA MOTO WA MAKUMBI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...