Crown Prince Philippe (53) ameapishwa leo kuwa mfalme mpya nchini ubeligiji,
Prince Philippe sasa anakuwa mfalme Philippe , anachukua kiti hicho cha kifalme
kutoka kwa baba yake mfalme Albert II (79) ambaye amejiuzulu kutokana afya yake.
Mtawala mpya wa Ubelgiji King Phillipe mwenye umri wa miaka 53,ameapishwa leo
21.julai.2013 kufuata na katiba ya nchi hiyo.
Mfalme Albert aliemaliza muda wake.
Hawa nao wako nyuma kweli. Mfalme ana retire? Huwa anakufa ndipo anarithishwa...wajiachie tu haya mambo hawayawezi.
ReplyDeleteHajamaliza "muda wake", Amejiuzuri ili mwanawe awe Mfalme.
ReplyDeleteAnon wa mwanzo we huyajui haya mambo...malkia wa udachini , mfalme wa qatar na huyu wa ubelgiji wameamua na kikatiba inawezekana kung'atuka ,unataka wote wawe kama malkia wa uk ? kidingi king'ang'anizi ?
ReplyDeleteyule bibi wa uk wanae wote wanazeeka bado kakomaa tu kila akienda kufunguliwa ile stoo yao iliyohifadhiwa dhahabu walizoiba afrika anazidi kuingia hamu kuwepo kwenye umalkia
ReplyDeletehuku udachini mama yetu sio mwenye tamaa kamuachia mwanae sababu familia ni ileile tu sio huyo bibi wa uk kadatishwa na wajamaica kwa moshi wa bange.
USIWE NA DONGE NA BIBI YETU WA UK. TUTAENDA NAE MPAKA IWE ASUBUHI TUMTOE NJE AOTE JUA, JIONI TUMRUDISHE NDANI NA KUMKOKEA MOTO WA MAKUMBI.
ReplyDelete