Ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji
linalojengwa katika shule ya msingi Maulu kata ya Kipagalo wilayani
Makete ukiendelea kwa kasi kubwa, kutokana na shule hiyo kukumbwa na uhaba wa maji hasa wakati wa
kiangazi hali inayopelekea wanafunzi kupata tabu ya kujisaidia kutokana
na vyoo kuwa ni vya kutumia maji. Ujenzi huo umefadhiliwa na AMREF
Hapa mafundi wakiwa kazini kama uonavyo
bado kidogo tuu ujenzi huo utakamilika
Jamaa akiwa jikoni mwenyewe kujipikia ugali
kwa ajili yake na mafundi wenzake wanaojenga tanki hilo(Picha zote na
mdau Edwin Moshi)
Kitu cha ugali hiko! easy and simple.Basi hapo ukipata na ng`onda akaa maisha yanakwenda taratibu wanaotaka makuu na wende huko Darislam.
ReplyDeleteMuandishi tafadhali, japokuwa jina hilo limetokana na lugha ya kigeni TANK, lakini kwa kiswahili fasaha linaitwa TANGI siyo Tanki.
ReplyDelete