Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akifungua majadiliano ya siku moja kuhusu kukosekana kwa fursa sawa katika jamii na hivyo kufanya pengo kati ya walionacho na wasionacho kuongezeka hali ambayo amesema kama hujudi za makusudi hazitachukuliwa pengo hilo na tofauti hizo katika jamii zinaweza kuwa chimbuko kubwa la migogoro, machafuko, milipuko ya magonjwa uhalibifu wa mazingira na kudhoofu kwa maendeleo.
Home
Unlabelled
UMOJA WA MATAIFA WAJADILI PENGO KATI YA WALIONACHO NA WASIO NACHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...