Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2013

    hiyo nafasi tayari ina wenyewe...jamani acheni kuzingua watanzania. Karne hii hakuna ajira bila kujuana.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2013

    Ni kweli upendeleo upo, lakini dhana kwamba kila kazi inayotangazwa ina wenyewe, ni dhana potofu. Wako waombaji wengi ambao ni watu wa kawaida na wamefanikiwa kupata nafasi nzuri tena kwa kupita mchujo mkali. Watanzania wenzangu tusikatishwe tamaa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2013

    Inategemea na mazingira, sio lazima kila mahali iwe hivyo.

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...