Home
Unlabelled
Vacancy at Oxfam in Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo nafasi tayari ina wenyewe...jamani acheni kuzingua watanzania. Karne hii hakuna ajira bila kujuana.....
ReplyDeleteNi kweli upendeleo upo, lakini dhana kwamba kila kazi inayotangazwa ina wenyewe, ni dhana potofu. Wako waombaji wengi ambao ni watu wa kawaida na wamefanikiwa kupata nafasi nzuri tena kwa kupita mchujo mkali. Watanzania wenzangu tusikatishwe tamaa.
ReplyDeleteInategemea na mazingira, sio lazima kila mahali iwe hivyo.
ReplyDeletesesophy