Bili ilivyomchanganya Masawe; Masawe alienda na rafiki zake Bar kunywa, baada ya kumaliza kunywa bili ikaletwa kama ifuatavyo;
1). Manka = sh.35,000.
2). Marieta = sh.20,000.
3). Kekuu = sh.30,000.
4). Kitime = sh.10,000.
5). Kinabo = sh.15,000.
TOTAL = SH.110,000.
Masawe akaicheki bili akasema; wote nitawalipia lakini huyo TOTAL ''Yesuu'' simlipii kabisa. Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa Bongo...shensi taaip! na amekunywa nyingi kuliko wote, alipe mwenyewe.
Huyu atakuwa ni MUURU tu
ReplyDeleteAhahaaa! nimekukubali mjomba chibiriti
ReplyDeletehahahahahaha u made ma day chibiriti
ReplyDeleteHii ni hatari lakini salama.
ReplyDelete