Mdau Khalfan Omary Khalfan akiwa mwenye furaha baada ya kumeremeta na Bi Nasra Issa Piku Mwishoni mwa wiki kabla ya mfungo kuanza Mjini Lindi
Dunia njema hukaa wawili.....Hata ndege wawili wawili.....Hongera wadau!
Mdau Khalfan na Bi Nasra wakiingia katika Ukumbi wa Mtakatifu Andrea Kagwa kwa ajili ya mnuso wa kuwapongeza baada ya kumeremeta
Watoto wa Dr Omary Khalfan wakitoa zawadi kwa baba na mama yao katika mnuso huo ikiwa Ishara ya malezi bora kwa watoto wao
Walimeremeta wakati wa Ramadhan au kabla?
ReplyDeleteDr.Khalfan mwalimu mzuri wa OBGY.
ReplyDelete