Fc Vito kutoka Lindi Tanzania katika picha na Hjk Juniors ya Helsinki baada ya mechi yao katika Mashindano ya Helsinki Cup yanayoshirikisha timu za vijana kutoka mataifa mbalimbali. Vito Walifanya vizuri katika michuano ya awali (Group stages) kwa kushinda mechi zote na kuonesha kiwango cha kuridhisha kabla ya kutolewa kwa penalti katika robo fainali. Vito wanatarajiwa kurudi nyumbani Tanzania Jumapili hii.
Home
Unlabelled
FC Vito ya Lindi yatamba katika michuano ya Helsinki Cup nchini Finland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Du huyo beki wetu hakupewa Kadi nyekundu kweli maana alivyomtuliza huyo kijana wa kizungu ni balaa
ReplyDelete