Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiagana na wanataaluma waliotoa mada kwenye
mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa kitaifa wakiwa na wahitimu kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
iongozi wa kitaifa wakiwa na wanataaluma waliotoa mada kwenye mahafali ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, jijini Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...