Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2013

    Akina dada mmeona hiyo?

    Mwenzenu ameshika usukani anaongoza nchi!

    Wenzangu na mimi dada zangu akina Chausiki na Havijawa wa hapa Tanzania Bongoland kazi ni kuosha kucha, kusafisha miguu, Kubandika nywele bandia vichwani, kuogea na sabuni za Mikorogo, Kurushiana Mafumbo ya Mipasho kwenye Taarabu na kugombea wanaume na kutegemea Mabwana ktk kusukuma Maisha.

    Tazameni mfano huo kwa wenzetu na ninyi mbadilike!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2013

    Kabinti kazuri kwelikweli.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2013

    Kaka wa kwanza hapo juu umenena kweli ila jiandae kuchukiwa maana ukisema ukweli unaonekana mnoko

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2013

    Basi dada Waziri Mkuu achia wafungwa wetu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2013

    Mbona hamzungumzii idadi kubwa ya wanawake tena wenye uwezo katika madaraka na ngazi kubwa za mamuzi hapa nchini? Kweli Nabii hasifiwi katika Nchi yake. Mifumo dume bado ni kikwazo kwa wanawake wa Tanzania na Nchi nyingi zinazoendelea kushika usukani. Maraisi Ellen Johnson, Joyce Banda, mama Zuma AU just to mention a few. It a process & class struggle. Chungeni sana wimbi kubwa la mabadiliko halitaacha kuikumba Tanzania. Nini cha ajabu wanaume mmefanya Kama sio kuingiza Nchi katika ufisadi, ubinafsi na rushwa. TAFAKARI

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2013

    Bila shaka yule mdai aliyetoa ombi la matarumbeta ameburudika japo kwa kiduchu huku ombi lake likifanyiwa mchakato.

    ReplyDelete
  7. Sawa mdau wa kwanza umesahau na wale wanaotaka VITI MAALAMU! Mwenzenu amegangamala hadi kuwa raisi hakuna mambo ya viti maalumu!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2013

    Tunao kina Dr. Migiro,Prof. Tibaijuka etc. Tatizo ni jamii kukubali mwanamke kuwa rais, hata mataifa makubwa hiyo ni challenge.... nina hakika mdau wa kwanza upeo wako ni finyu sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 31, 2013

    mdau wa kwanza anza na mkeo kwanza mpe madaraka uone kama hujahama nyumba ww

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 31, 2013

    Mataifa makubwa au taifa kubwa? Uingereza Margaret Thatcher, ujerumani Angela Merkel, hao wawili uliowataja hapo juu waliteuliwa UN hawakugombea km ckosei.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 31, 2013

    Mhe: Yingluck Shinawatra a.k.a Pu
    Ni mama Mfanyabiashara na mwanasiasa. Ni Waziri Mkuu wa 28 ila ni kwanza Mwanamke tena mwenye umri mdogo.
    ana miaka 46 (Juni21,1967); Ana urefu wa 1.7m (5'7"); ameolewa na ana mtoto mmoja. Anasadikiwa kuwa Mwanamke wa 31 kati ya akina mama wenye nguvu kimaamuzi na uluwa. Mwaka 2011 alikuwa na utajiri wa $ 17 Million (541 Million Baht); Mwanawe akiwa na 4.4 Million Baht na Mumewe akiwa na 76.8 Baht kwenye vifaa na 369.7 Million mtaji utokanao na madeni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...