Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kuzawazisha dhidhi ya URA ya Uganda, lililofungwa na Jerson Tegete katika dakika ya 90 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-2. Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki umefanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Yanga, Ibrahim Job na Rajabu Zahir  katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga, Jerson Tegete katika mchezo wa kimataiafa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. 
Wachezaji wa URA wakishangilia bao la pili la timu hiyo.
 Heka heka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu Lutimba yayo ni beki au mshambuliaji?kuwa makini!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2013

    Haya Msimbazi ninyi mmelaliwa 2-1 na sisi ndio hivyo mnaona tumechomoa 2-2.

    Hamuishi visingizio kila uchao mtasema ohhh sisi tulikuwa na Swaumu, mbona na sisi Jangwani tulikuwa ktk Mfungo pia tukachomoa?

    Mtadau ohhh wenzetu ninyi wengi ni Wakristo, hamjui wapo Wakristo wanafunga pia?,,,Msimbazi mnaisha hoja ninyi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...