Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Harare, Zimbabwe, kushiriki katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe, inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 22, 2013
Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na wake zao, Mama Sitti Mwinyi na Mama Anna Mkapa, wakiwasili katioka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare, Zimbabwe, walikoalikwa kushiriki katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbambwe, Mhe Robert Mugabe, inayotarajiwa kufanyika kesho
Alhamisi Agosti 22, 2013.PICHA NA IKULU
Duh!! wote hawa wawili (Mzee wa Ruksa na Mzee wa Ukweli na uwazi) wamemkuta na Wakamuacha (Mugabe) madarakani, JK naye amemkuta na atamuacha akiwa bado madarakani.......No comments!!!
ReplyDeleteMzee Ruksa anacheka tuu. Miaka 88 lakini ana siha ya mtu wa miaka 68. Mwenyezi Mungu akujaze afya njema mzee wetu na wewe ndiye baba wa demokrasia katika nchi yetu.
ReplyDeleteWell said mr Ben
ReplyDeleteMzee Ruksa,so happy and relaxed! Have a good time both of you
ReplyDeleteMichuzi ningeomba hii iweke wazi.
ReplyDeleteMwandishi wa habari wa Uingereza anamuuliza Mugabe baada ya kushinda uchaguzi:- Mr President don't you thing 89 years old would have been a great time to rest and retire? ? Mugabe akajibu kama hivi:- Have you ever asked Queen Elizabeth this question or is it just for African leaders?? Mdau Saleh
Wazimbabwe wameidhihirishia dunia kwamba age is just a number.
ReplyDeleteKweli Tanzania tupo Kigezo chema!
ReplyDeleteNchi zingine nyingi duniani sio rahisi kuona mfululizo wa Marisi Wastaafu wa nchi moja (walio fuatana ktk vipindi vyao vya Uongozi) wakiwa pamoja.
Mzee Ali Hassan Mwinyi, na Mzee Benjamin William Mkapa.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania!