Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Uncle, your presentation was great despite the fact that you did it off the cough and without editing. Of course you are THE professional we know.
    Secondly, it is amazing that in just the few minutes and in that small area you were able to challenge our City Fathers in Tanzania with a host of issues realized by Alpbach Fathers capitalising on their comperative advantages, including: Geographical, Weather, History, Politics, ... All that easily translated in to excellent economic opportunities. Kutembea nano ni 'schule' tosha, kwani mwenye macho ....

    ReplyDelete
  2. Sijasikia honi wala kuona moshi kutoka kwenye magari. Ni kusafi mpaka Ankal anaogopa kudondosha kamera yake chini. Nafikiri hata sisi baada ya miaka 500 ya uhuru tutakuwa kama wao.

    ReplyDelete
  3. Ahsante Ankal, maana nasi pia tunapata somo la kuhusu kona mbalimbali za ulimwengu unazofika.


    Kwa namna hii ndiyo teknolojia ya kisasa inavyoweza kusomesha wadau wa globu ya jamii kwa kutumia video.

    Maana masimulizi ya kutumia maneno matupu na picha za mnato hayatoshelezi kiu yetu ya kufahamu dunia yetu nje ya Tanzania.

    Ankal usichoke na pia mpe salamu Mkuu kuwa nasi tunajifunza ya ziada yatokanayo safari zake.

    Mdau
    Globu ya Jamii

    ReplyDelete
  4. Hizo nyumba zimejengwa miaka 200 iliyopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...