Alex Kassuwi akimpokea Mario Hugh knight Jr. aka Suge Knight alipokuwa anawasili kuitikia mwito wa "THE CEO" Davis Mosha. Ambapo walijadiliana jinsi ya kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA nchini Marekani. THE CEO alimuita Suge Knight kutokana na uzoefu wake katika branding na promotion. Suge ni mjasirialiamali na mwekezaji mkubwa, na ni muasisi na alikuwa CEO wa  Black Kapital Records na vilevile ni muasisi mwenza na CEO wa zamani wa Death Row Records. Amewapa mafanikio makubwa wasanii Tupac Shakur, Dr. Dre, Snoop Dogg aka Snoop Lion, Outlawz na Tha Dogg Pound. 
   Suge akiwasili kumuona "THE CEO" Davis Mosha under escort
  Suge Kabla ya kumuona THE CEO alitambulishwa kwanza kwa mtoto wa Davis Mosha, Edgar Mosha. Kulia ni Mayor wa L.A. Bwana Deo Temba.
 Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na THE CEO Suge alipata picha ya ukumbusho
  Mayor wa L.A. Deo Temba, Edgar Davis, Suge Knight na THE CEO Mpiganaji Davis Mosha wakiwa pamoja JW Marriott L.A. LIVE
Crew walioambatana na Suge Knight kuja kumuona "THE CEO" Davis Mosha kwa ajili ya Kuikuza AFRICA SWAHILI MEDIA Marekani.
Suge knight alipokuwa akiondoka baada ya kikao na Mpiganaji Davis Mosha THE CEO.
Picha na Africa Swahili Media

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Alex Kassuwi wewe ni kichwa machine ingine.Umeenda Marekani umewaacha mbali sana wabeba mabox, kweli penye nia pana njia.

    ReplyDelete
  2. Hongerani sana. Mfanye kazi adilifu mpate kuipa Tanzania jina zuri.

    ReplyDelete
  3. shikamoo CEO jembe!Alex safi sana

    ReplyDelete
  4. SASAS HUYO MKARIBISHWA MBONA HATA HANA SMILE? AU HAJAKUBALI AHADI?

    ReplyDelete
  5. huyo ndio mbabe wa iliyokuwa hip-hopo ngumu kule West Coast, LA California. So kutabasamu kwake hakuna kitu kama hicho. Nafikiri wabongo hamkumbuki au hamtambui Suge jamaa aliyekuwa bega kwa bega na 2pac kuendeleza gemu la hio-hop za kigumu. Karibu bongo Suge Bear

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...