Kamera yetu hivi ilibahatika kuwanasa jamaa hawa wakipakia Uchafu kwenye usafiri huu wa Bajaj ambao ni maarufu kwa kubebea Abiria hapa nchini,lakini kwa jamaa hawa ikawa ni tofauti na mazoea huku wakiwa hawana noma na usafiri huo wala nini.
 Hapa kazi ikiendelea tena kwa kasi ya ajabu.
 Chombo kimeshasheheni mzigo tarai kwa kuondoka eneo la tukio.
Si kikagoma kuwaka,basi kazi ilikuwa ni hivi.......hayaaaaa shtuaaaaaaa......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongereni kwa ubunifu, nasikia nyingine zinafanya kazi kama gari za wagonjwa...!

    ReplyDelete
  2. Uchafu ama MBOLEA?

    Na kama hiyo ni mbolea hao wameshagundua fursa muda si mrefu watatupita pwaaaaaaa!

    ReplyDelete
  3. mbona hiyo bajaj haina hata namba,ya wizi nini?

    ReplyDelete
  4. Uchafuzi wa mazingira uharibifu mashine(rasilimali) na kutokutumia akili kwa baadhi ya watu

    ReplyDelete
  5. Ovyooo !

    Angalieni watu wanao fosi muonekano, mtu unavaa Koti kama Bosi halafu unatumia Bajaj?

    Huo Mabosi wawili wenye Makoti ya Suti wanatutia aibu wavaa suti kwa kuitumia Bajaj kama GARI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...