Kamera yetu hivi ilibahatika kuwanasa jamaa hawa wakipakia Uchafu kwenye usafiri huu wa Bajaj ambao ni maarufu kwa kubebea Abiria hapa nchini,lakini kwa jamaa hawa ikawa ni tofauti na mazoea huku wakiwa hawana noma na usafiri huo wala nini.
Hapa kazi ikiendelea tena kwa kasi ya ajabu.
Chombo kimeshasheheni mzigo tarai kwa kuondoka eneo la tukio.
Si kikagoma kuwaka,basi kazi ilikuwa ni hivi.......hayaaaaa shtuaaaaaaa......






Hongereni kwa ubunifu, nasikia nyingine zinafanya kazi kama gari za wagonjwa...!
ReplyDeleteUchafu ama MBOLEA?
ReplyDeleteNa kama hiyo ni mbolea hao wameshagundua fursa muda si mrefu watatupita pwaaaaaaa!
mbona hiyo bajaj haina hata namba,ya wizi nini?
ReplyDeleteUchafuzi wa mazingira uharibifu mashine(rasilimali) na kutokutumia akili kwa baadhi ya watu
ReplyDeleteOvyooo !
ReplyDeleteAngalieni watu wanao fosi muonekano, mtu unavaa Koti kama Bosi halafu unatumia Bajaj?
Huo Mabosi wawili wenye Makoti ya Suti wanatutia aibu wavaa suti kwa kuitumia Bajaj kama GARI!