Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akikabidhi zawadi kwa niaba ya Mahakama kwa Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake, Mhe. Alfonso Lenhardt pindi alipomkaribisha mapema jana ofisini kwake Mahakama ya Rufani Tanzania kwa ajili ya kumuaga rasmi na kumpongeza kwa kumaliza muda wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I think huyu alikuwa balozi mmoja mzuri sana. na usiamini wale watakaosema kuwa policy ya Mmarekani haichongwi na Chiefs of Missions na DCMs wao. Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...