Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akitembelea Banda la Polisi Tanzania Katika Maonyesho ya siku kuu ya wakulima ya Nane nane, kujionea mambo mbalimbali yanayofanywa na Jeshi hilo, Hapa akipokea fomu ya maelekezo ya kujiunga na Chama cha kuweka akiba na kukopa katika Jeshi la Polisi,Usalama wa Raia Saccos( URA SACCOS) toka kwa mkaguzi wa Polisi Christina Mkonongo mwenye fulana ya rangi ya blue
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Bw. David Misime akitembelea Banda la Polisi Tanzania Katika Maonyesho ya siku kuu ya wakulima ya Nane Nane
Askari wa Jeshi Polisi wa kikosi cha Kukabiliana na Majanga Mkoani Dodoma wakitembelea banda la Polisi katika maonyesho ya sikukuu ya wakulima ya Nane Nane inayofanyika Kitaifa Mkoani humo kujionea na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania.
Picha na Luppy Kung’alo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Sasa SMG za nini katka maonesho?
ReplyDeleteAsante anonym hapo juu, maana hata na mimi nilitaka nihoji hilo, mabunduki ya nini sasa?
ReplyDelete