Mjumbe wa Baraza la Katiba la
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Bi. Anna Mollel akitoa maoni yake
kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano uliofanyika leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya
Sekondari ya Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe Baraza la Katiba la
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Bi. Mwajuma Ramadhani akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba
Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika leo
(Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya Kilangalanga
uliopo Wilayani humo.
Mjumbe Baraza la Katiba la
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Bw. Adam Korongo akitoa maoni
yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
katika mkutano uliofanyika leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule
ya Sekondari ya Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe Baraza la Katiba la
Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani, Bw. Mohamedi Malande akitoa maoni
yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba
katika mkutano uliofanyika leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule
ya Sekondari ya Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
1.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Baraza la
Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kihaba Mkoani Pwani leo (Jumapili Agosti 4)
katika mkutano wa kuijadili na kuitolea maoni Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa
na Tume hiyo. Kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Al- shaymaa Kwegyir. PICHA NA TUME YA KATIBA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...