Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi wa Diamond Musica wakionyesha umahiri wao katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam kwakati wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya Vodacom usiku wa kuamkia leo
Manjonjo ya kila aina
Madansa wakali
Waimbaji wa bendi ya muziki wa dansi wa Diamond Musica wakiimba katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam kwakati wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya Vodacom usiku wa kuamkia leo






Huu Uvaaji siyo U Africa wala U Tanzania. Haipendezi. Mna mongonyoa Maadili yetu mema
ReplyDeleteWewe unayeropoka hapo juu una maana gani unaposema uvaaji huu si u-Tanzania au u -Africa? Ulitaka wavae kanzu au burqa? Kama huyapendi hayo mavazi ambayo binafsi sioni kama yana tatizo lolote kwa nini upoteze muda wako kuangalia....unaweza kuangalia mambo mengine yanayokupendeza, waachie wengine uhuru wao wa kuangalia wapendacho.
ReplyDelete