Wanenguaji wa bendi ya muziki wa dansi wa Diamond Musica wakionyesha umahiri wao katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam kwakati wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya Vodacom usiku wa kuamkia leo
 Manjonjo ya kila aina

 Madansa wakali
Waimbaji wa bendi ya muziki wa dansi wa Diamond Musica wakiimba katika ukumbi wa Dar Live, Dar es Salaam kwakati wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya Vodacom usiku wa kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huu Uvaaji siyo U Africa wala U Tanzania. Haipendezi. Mna mongonyoa Maadili yetu mema

    ReplyDelete
  2. Wewe unayeropoka hapo juu una maana gani unaposema uvaaji huu si u-Tanzania au u -Africa? Ulitaka wavae kanzu au burqa? Kama huyapendi hayo mavazi ambayo binafsi sioni kama yana tatizo lolote kwa nini upoteze muda wako kuangalia....unaweza kuangalia mambo mengine yanayokupendeza, waachie wengine uhuru wao wa kuangalia wapendacho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...