Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hatuwezi kukubali kuacha kutabasamu kama waliopo ktk picha hizo kwa kuwaachia wachocezi wakahatarisha Amani nchini Tanzania!

    Wacha tulaumiwe na Jumuiya ya Kimataifa liwalo na liwe, tunawatambua (hawa watu wanahesabika) tutawanyoa vilivyo !

    Mungu Inariki Tanzania!,
    Mungu Ibariki Afrika!

    ReplyDelete
  2. Tunamuomba mheshimiwa Rais ashughulikie ahadi yake kama alivyo ahidi,wahamiaji haramu ndiyo chanzo cha kuvuruga amani ya nchi yetu,ndiyo hawa wanaratibu ujambazi,ndiyo hao hao wanaua dugu zetu huku kigoma,kagera na Tabora wanateka mabasi na kurawiti abiria tunaliomba jeshi la nchi hii kusafisha wahamiaji wote warudi kwao hata kama ni shimoni kwao ni kwao naimani na Rais wetu mheshimiwa jakaya kikwete atalishughulikia suala hili kwa kina na umakini wa hali ya juu,hawa wahamiaji haramu wamo mpaka kwenye vyama vya siasa warudishwe kwao bila kuwa hurumia au kuwaonea haya,hizi siku sita walizopewa zifanye kazi yake iliyokusudiwa kusafisha nchi yetu,sisi hatuja zoea vita bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...