Bondia Mtanzania Francis Miyeyusho kulia akipambana na Fidelis Lupupa wa Zambia wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika wakati wa Sikuku ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live Mbagara Miyeyusho alishinda kwa K,O ya raundi ya nane picha zote na SUPER D |
MIYEYUSHO AKISHANGILIA USHINDI |

Huu si Ushindi! Hakuna Mshindi katika dhambi hii ya kuumizana. Wanaoshabikia na kufurahia kuona wawili wakiumizana ni watesi. "Mchezo" huu hatima yake ni utaahira utu-uzimani. Wazazi, tufanye jitihada kuwa epusha watoto wetu na "mchezo" huu haramu mbele ya Mungu
ReplyDeleteTutajie basi michezo mmbadadala sio tu kuhimiza watu kupinga mchezo huu.Nyie ndio walewale mlio sababisha vipaji vingi kufifia kwa kuchanganya na habari zingine ambazo hakuna ukweli.Ninasema nikijuacho na ni majeruhi wa maoni finyu kama ya mdau wa kwanza.
ReplyDelete