MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Ludovick Utouh amesema taarifa ya Sh bilioni 252 zilizokuwa zimeoneshwa katika taarifa ya Wizara ya Ujenzi, zilihamishwa kwenda Wakala wa Barabara (Tanroads) kulipia madeni ya wakandarasi na kwamba hapakuwa na ufisadi.
Home
Unlabelled
CAG AKANUSHA MADAI YA KUWEPO UFISADI KATIKA MRADI MAALUM WIZARA YA UJENZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wafrika inabidi tujaribu kuiga wageni tunatumia muda mwingi sana kuongeleo mambo machache mno.Any way MH utoh ni jembe letu Tanzania
ReplyDelete