Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasili katika viunga vya makao makuu ya chama tawala mjini Dodoma katika sherehe ya uzinduzi wa Baraza la Ushauri la chama hicho

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kwa ikwete akisalimiana na wazee wa baraza la ushauri 
Katibu Mkuu wa CCCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti  kuzindua Baraza. Kushoto ni wajumbe wa baraza hiyo
 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwasha king'ora kuzindua Baraza la Ushauri
 JK, Dk shein, Pinda na Kinana wakiwa na wajumbe wa baraza la ushauri
 Mwenyekiti wa Baraza la wastaafu Alhaj Ali Hassqn Mwinyi akiongoza kikao cha kwanza. Toka kushoto ni Mzee William  Malecelae  na Mhe Amani Abeid Karume. Kulia ni Mzee Benjamin William  Mkapa na Mzee Pius Msekwa  ambaye ni Katibu wa Baraza hilo. Picha na Adam Mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...