Wachezaji wa Ashanti United wakisalimiana na wachezaji wa Yanga kabla ya mchezo.
Beki wa Ashanti United, Ramadhani Malima akichuana na mshambuliaji wa Yanga, Hussein Javu, katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1.
Wachezaji wa Yanga wakiwa katika ya pamoja.
Beki wa Ashanti United,
Emanuel Kichiba (kushoto), akichuana na kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima
katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 5-1.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao 5-1.


TFF:Refa aliyechezesha mchezo huu jana anatakiwa apewe onyo kali kwa kuruhusu makipa wa pande zote mbili kutumia jezi zinazofanana rangi(Light blue).Hakukuwa na pre-match meeting?Huo ni ubabaishaji kwenye mchezo wa soka
ReplyDeleteDavid V