ukumbini. MASHABIKI wa muziki jana walipata burudani ya kukata na shoka katika sikukuu ya Idd Pili kwenye Ukumbi wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam ambapo walichenguliwa vilivyo na bendi za Extra Bongo na TOT.
(NA ISSA MNALLY / GPL)
hao wachezaji ni kama wamevaa jezi za kuogelea!!!!! au macho yangu! Nakumbuka Bongo kukupi ya Ulaya Ulaya wati wanatoka na night gowns kwenye mitoko! Kuiga huku jamani knatuumbua!
ReplyDelete