Kuna tishio kubwa dhidi ya Muungano wetu. Tishio hilo liko zaidi kwenye dhana kuliko
udhaifu wa dhamira ya Muungano wenyewe. Tishio hilo limedhihirika katika
kipindi hiki cha Mchakato wa Kuandaa Katiba Mpya ya nchi yetu.
Mjadala wa rasimu ya Katiba mpya umetawaliwa
kwa kiasi kikubwa na agenda ya Muungano.
Yamejitokeza makundi yenye mitazamo tofauti juu ya Muungano. Wako
wanaoutaka uendelee, wako wasioutaka, wako wanaotaka urekebishwe, ilihali kuna
kugongana kwa fikra.



Muungano ni hazina kubwa ya mshikano wetu wa undugu katika jadi na mila toka enzi za kale kabla ya utawala wa sultan wa kiarabu na wakoloni wa bara la magharibi ya ulaya.
ReplyDeleteKweli kuna wanaoutaka usitishwe na pia kuna wanaoutaka uendelezwe kama ulivyo,mawazo haya yote mawili hayotoharibu kitu kwa nchi zote mbili zilizounganishwa na viongozi wetu wawili baba wa taifa Mwalimu J.K Nyerere na hayati raisi Abeid Aman Karume kwa mawazo ya busara na amani kwa nchi zetu.
Kimtazamo unaweza kufanyiwa marekebisho pale panapo wezekana kufanyiwa marekebisho sawa na sera za vyama au katiba za nchi kama marekebisho hayatotuletea gharama kubwa.
Muungano wa umoja wetu ni nguvu kwa nchi zote mbili kutenganishwa kutaleta unyonge,udhaifu usio na kifani katika jamii za nchi mbili
Mickey"Mikidadi"Jones
Denmark
Kwa nini Zanzibar iwe na raisi na serikali yake ila Tanganyika isiwe na raisi na serikali yake? Tanganyika ifufuke ndio muungano utakaa sawa bila hivyo daima kutakuwa na manung'uniko. Hilo ndio tatizo kuu na mwandishi umezungumka mbuyu makusudi kuliepuka, muungano ni wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar na awali uliitwa hivyo(united republic of Tanganyika and Zanzibar,) hii nchi ya mwanzo ilitowekaje Zanzibar ikabaki?
ReplyDeleteTatizo sio moja, mbili ama tatu ni kutoweka kwa mshirika mmoja wapo na kujivisha koti la Tanzania.
Muungano wa tanzania ni wa aina yake duniani,kwamba nchi moja ina mamlaka kama nchi ipo katika muungano wakati hakuna nchi ya pili kufanya muungano,ni muungano gani wa nchi moja (Zanzibar) bila ya pili (Tanganyika).Tanganyika ilienda wapi,Zanzibar imeshajitangazia dola kinyume na taratibu na katiba ya zamani na ya sasa,kisa,mafuta baharini.In Rais ina kila kitu kujiita nchi,Tanganyika pia iwepo na ionekane na ndipo sasa iwepo serikali ya muungano.Kwanza serikali ya sasa ni mzigo sana,nchi ina Marais watano na waziri mkuu:rais wa muungano,rais wa zanzibar,makamu wa muungano,makamu wawili zanzibar,ambao hata ukiangalia sana huelewi wanachofanya ila tu wamewekwa kukidhi haja za kisiasa.Hivi kwa mfano tungekuwa na rais wa bara, wa visiwani na wa muungano bila makamu wala waziri mkuu si ingekuwa bora.Hao viongozi wote na ma-first lady lukuki si uharibifu wa kodi za wananchi ni kitu gani.
ReplyDeleteKama Muungano ni wa Tanganyika na Zanzibar kwa nini basi Zanzibar haijawahi kutoa rais wa serikali hiyo hata mara moja katika kipindi cha miaka 50? Of course you may think of Ali Hassan Mwinyi being a Zanzibari but according to Tanzania Police Journal of 1970s, by that time Mwinyi was serving as a minister of home affairs, he was born at Kisarawe and that all his ancestors derived from there. So is he a Zanzibari? A Zanzibari has never enjoyed a post of presidency and the political environment has blocked this opportunity.
ReplyDeleteKimsingi wala hakuna haja ya kuwa na serikali tatu ila iwe ni mbili tu yaani ya Tanganyika na ya Zanzibar, hayo maelewano yatakuja tu by virtue kama ilivyokuwa hapo zama za kale sana.
1.Mkataba upo wapi tuwekewe hadharani
ReplyDelete2.Jina la Tanzania lipo wapi kwenye huo Mkataba
3.Kuwepo na mgao wa 50-50
4.Zanzibar ilipwe 45.5% tokea kuungana yaliouzwa Madini ya Tanzania yalioambiwa si ya muungano.
5.Tanganyika iilipe serikali ya Muungamo gharama zote iliozipata ndani ya kivuli cha muungano
6.Irudi serikali ya Tanganyika
7.kuanzia 2015 hadi 5o years ijayo Rais wa TZ awe mzanzibari tu km livo sasa ni bara tu.
8.Mabalozi wote wa nje wawe ZNZ kwa50 years kuanzia sasa
kisha ndio tujadili Muungano imara VENGINEVYO WALOUNGANISHA WASHAKUFA BASI NA UFEE
MUUNGANO HUU NI WOGA WA WATU KUSEMA UKWELI,JINSI SIKU ZINAVYOKWENDA MAMBO YANABADILIKA,KWA UKWELI WAZANZIBARI MUUNGANO HAWAUTAKI NA WAMECHOKA NAO.KUMEKUWEPO MABADILIKO MENGI WANA BENDERA YAO,WIMBO WA TAIFA NK,VITU AMBAVYO HAVIKUWEPO ZAMANI.SISI WATANGANYIKA KWA NINI TUNAUNG!ANG!ANIA?LET THEM GO.VITA BARIDI HAKUNA ULE WASIWASI ULIOKUWEPO SASA HAUPO TENA.MFANO MBARA AKIJENGA ZNZ ALIPE 5M KODI,WAO HAPA WANALIPA NGAPI?TUSIDANGANYANE.
ReplyDeleteHAKUNA SABABU ZA KUWA NAO MUUNGANO,WAZANZIBARI WANA MANENO SANA,KILA UCHAO WANATAKA HIKI AU KILE,SEAT UN,WAWE NA BALOZI ZAKE,ITAMBULIKE KAMA DOLA KAMILI.WAACHE WAENDE ZAO.
ReplyDeleteComment ya Eastafrican hapo juu haina point kabisa. Muungano huu ni kama ndoa ya mke na mume. Tanganyika ni kama mume na Zanzibar ni kama mke. Kama Zanzibar inataka talaka basi watoto wote waliozaliwa na Tanganyika wanabaki Tanganyika na Zanzibar inaenda kuanza moja hamna deni. Lakini Tanganyika kama mume akiamua kumpa talaka Zanzibar basi wagawane nusu kwa nusu. Na kwa ukweli Tanganyika hatatoa talaka na wazanzibari mlie tu. Maana ndoa au muungano hautakufa kwa sababu Tanganyika kama mume inawajibu wa kumlinda mke. Kwa nini Zanzibar hawakubadilisha jina? Na Tanganyika wakabadilisha????? Huyu mke anahitaji kupelekwa shule ya ndoa.
ReplyDeleteSasa kwa maoni yangu Muungano haufi na serikali mbili za kuwa na maraisi wawili unakufa kutakuwa na Raisi mmoja tu. Yatengwe majimbo makubwa tu ya watu zaidi ya milioni 5. Hii ina maana Zanzibar na Dar itakuwa Jimbo moja maana idadi ya WaZanzibar haitafikia idadi ya kuitwa jimbo. Mikoa inakufa na wakuu wa majimbo watachaguliwa kwa kupigiwa kura. Na hawa lazima wawe na sifa za uongozi , uchumi na biashara na wawe na shahada si chini ya mbili. Huu ndiyo ukweli wa kuleta maendeleo na kufuta ujinga na umaskini.
Kufuatia uamuzi wa Tanzania kufuata siasa ya vyama vingi,ambao ulikubaliwa kwa shingo upande,ndipo democrasia ya wenzetu wa Magharibi ilipoanza kutumika hapa kwetu.Wako wananchi wenye kufuata siasa ya vya vyao,wako wengine wenye mawazo yao kibinafsi.Muungano,uwe wa nchi au vikundi vya watu,utaweza kupatikana baada ya majadiliano na mapatano baina yao na kwa mara nyingi muungano huo hudumu.Huu wetu wa Tanzania,umekuja,sio kwa mjadala wa wananchi,bali kwa njama za madola ya nje wakihofia mtakapao wa ukomonist,ambao baada ya mapinduzi ya Zanzibar,ulianza kupanda mizizi yake visiwani.Kwa ufupi muungano haukupata ridhaa ya wananchi.Suluhisho liliopo ni kuwaelimisha wananchi umuhimu,hasara na faida ya kuwa na muungano au kutokuwa na muungano,na hatimaye pawe na KURA YA MAONI YA WANANCHI HUSIKA.
ReplyDeleteMtoa Makala hii:
ReplyDeleteUmesema pana Makundi matatu (3).
1.Wanaoutaka Muungano,
2.Wanaotaka urekebishwe,
3.WASIO UTAKA MUUNGANO.
Hivyo JIBU ni rahisi sana hapo, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA INAWAHITAJI HAO No.1 na No.2 LAKINI HAO No.3 (kwa kuwa inaonekana lazima watakuwa ni wachache) itabidi lifanyike mojawapo la hili:
1.TUWAKABIDHI UMOJA WA MATAIFA (UN) ILI WAPEWE UKIMBIZI WA KUDUMU DUNIANI AMA WATU WASIO NA TAIFA MAALUM (STATELESS CITIZENS) kama alivyowahi kuwa Mwanasayansi wa Nyuklia ALBERT EINSTEIN na Wayahudi wenzake alipotoka Ujerumani kwa Hitler hadi alipofika Marekani na kupewa Uraia wa Marekani.
2.JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA iwaombee Uraia kwenye nchi kadhaa wa Wahisani zinatakzo kubali kuwapokea.
3.IKISHINDIKANA No.1 ama No.2 hapo juu WAJIKABIDHI WENYEWE OMAN KWA MTAWALA WA MWISHO MKOLONI WA KIARABU ALIYEITAWALA ZANZIBAR.
Sasa wandugu mnafikiri sisi JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA hao kundi la (la watu wachache kabisa) Wasioutaka Muungano tutawabeba vipi?
Mdau wa 5 wewe eastafrican,
ReplyDeleteUnaleta za chako chako na cha kwangu pia chako?
Ni vile wewe upo Ukimbizini Uingereza unabeba Maboksi!
Njoo Tandika Sokoni kwa Wapemba wauza Mchele useme Muungano haufai uone kama huku gombewa kama Mpira wa Kona?
Bwege wewe Eastafrican,
ReplyDeleteHivi akili yako nzuri klweli?
Ninyi wakazi wa Visiwani hamzidi LAKI MBILI (200,000) wakati sisi wa Bara TUPO 40 MILIONI(40,000,000) halafu mnataka tugawane MGAWO WA RASILIMALI KWA 50 KWA 50?
Mahesabu yako ya wapi hayo?, au ni ya kwenu Mchamba wima?
Mnafikiri sisi Machogo wa Bara Mibwege na ming'ombe hatujui Hesabu?
waacheni hebu hao mayakhe na nchi yao kwani lazima tuungane nao? tayari tumeshaungana kwa damu , haya mambo ya serikali , chama na katiba kuwa kimoja sio lazima watuachie tanganyika yetu na wao wapeni zanzibali yao
ReplyDelete