HELLO....MASHABIKI ZANGU WOTE NITAKUWA NA BONGE LA SHOW YANGU YA KWANZA KAMA BAUCHA SIKU YA J.MOC TAREHE 17-8-2013 PALE CLUB KAKALA,KIGAMBONI NITAKUWA NA WASANII KIBAO AKIWEPO COUNTRY BOY,K-ONE,NETO,MICHAEL JACKSON WA TZ NA WENGINE WENGI USIKOSE KUONA MAMBO MAZURI YAKIFANYIKA LIVE SIKU HIYO KARIBUNI SANA...
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Vijana Ma-Tozz Country Boy na Ally Baucha mnaonekana Wanyamwezi Orijino kutoka Marekani!
ReplyDeleteNina wasiwasi ktk zoezi hili linaloendelea la Vitambulisho vya Utaifa mnaweza kukamia kwenye meza ya Afisa wa Uhamiaji ambaye atapata wakati mgumu kuamini ninyi ni Vijana halali wa Jakaya Mrisho Kikwete.
Mtaulizwa maswali kwa lugha za baadhi ya Makabila ya Tanzania
1.KICHAGGA:
Shimbonyi?
Kimya!!!
2.KINYAKYUSA:
Ndaga?
Kimya!!!
3.KIHAYA:
Wabonaki waitu?
Kimya!!!
Afisa Uhamiaji atasema kwa Kiingereza cha Kiserikali ''For betterment of the government wise procedure for Tanzania we have to repatriate you back to USA for handing over to your US-Tanzania Embassy''