Dkt.Haroun
Nyagori ambaye ni bingwa wa Magonjwa ya moyo katika Hospital ya Mkoa wa
Morogoro,akielezea umuhimu wa mashine ya Cardiac Monitor yenye thamani
ya Tsh Milioni 12 mara baada ya kupokea msaada wa mashine hiyo toka kwa
Meneja wa benki ya KCB tawi la Morogoro Bi.Hogla Laiser (katikati)
Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya Mkoa wa Morogoro Dkt.Rita Lyamuya(kulia)akipokea msaada wa Mashine ya Cardiac Monitor kutoka kwa Meneja wa Benki ya KCB tawi la Morogoro Bi.Hogla Laiser.
Swaumu Hassani ambaye ni Mama mzazi wa Mtoto Ibrahim Salum akishuhudia mwanae akipatiwa vipimo kupitia mashine ya Cardiac Monitor na Dkt.Haroun Nyagori ambaye ni bingwa wa Magonjwa ya moyo katika hospital ya Mkoa wa Morogoro,Mashine hiyo yenye thamani ya shilingi Milioni 12 ilitolewa msaada na Benki ya KCB tawi la Morogoro hapo jana,anaeshuhudia kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali hiyo Dkt.Rita Lyamuya.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro na wafanyakazi wa Benki
ya KCB tawi la Morogoro wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya
makabidhiano rasmi ya Mashine moja ya Cardiac Monitor iliyotolewa msaada
na Benki hiyo hapo jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...