
FAMILIA ya BRIGEDIA GENERAL, JANUARY NYAMBIBO hatutaacha kukukumbuka kwa sala na maombi wakati wote baba yetu mpendwa uliyetutoka ghafla Agosti 15, 2008 na kuzikwa Agosti 18 katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
LEO Agosti 15 utatimiza miaka mitano tangu ulipotutoka, unakumbukwa na watoto wako Husna, Misana, Mr & Mrs Juma Kasesa, Mr & Mrs Malu Stonchi, Hamisa, Masha, Mkama, Bwire, Perus, Peter, Mkeo Rukia Abdalah Kitogo na wajukuu zako Haji, Amanda, Jenifer, Angel, Mkama, Devon, Robert, Mohsini, Rukia na Familia yote ya Nyambibo.
Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi
Bwana ametoa na bwana ametwaa.
Jina lake lihimidiwe
Amin.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...