Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  kwa  ushirikiano  mkubwa  na  Taasisi  ya  Flatbelly  Tanzania  wamedhamiria   kuwasaidia  wadada  kwa  wakaka  wanao  taka  kutengeneza  shape  za matumbo  yao   kwa  kuyafanya  kuwa  flat pamoja  na  watu  wote  wenye  nia  ya  kuondoa  vitambi  vyao, kupunguza  unene  na  uzito   kwa  njia  ya  tibalishe  na  mazoezi,  kuhakikisha  wanafikia  malengo  yao. 
Hili  litafanyika  kupitia  mradi  wa    Flatbelly   Project  unao  ratibiwa  na  Neema  Herbalist  kwa  kushirikiana  na    Flatbelly  Tanzania.
Programu   hii  inafanyika  kwa  lengo  la  kusogeza  huduma  zetu  kwa  wananchi  walio  wengi    kwa  urahisi  na  ukaribu  zaidi.  Kupitia  program  hii, tutahakikisha  kuwa, kila  memba  anaye  jiunga  na  program  anaya  fikia  malengo  yake   kwa  asilimia  mia  moja. Tutakuwa   tukiweka  picha  za    memba  kabla  na  baada  ya  kujiunga  na  program  ili  kuwaonyesha  watanzania  ni  kwa  namna  gani  tumedhamiria  kuimarisha  afya  za  watanzania  kupitia  program  hii. Gharama  za  kujiunga  na  programu  hii  ni  rahisi  sana  na  mtanzania  wa  rika  lolote  lile  anaweza  kujiunga.  
Unapo chukua  uamuzi  wa  kuja kujiunga  na  programu  hii, unapaswa  kuwa  na  uhakika   kwamba   utayafikia  malengo  yako  kwa  asilimia  mia  moja.
 Kwa  wewe  unayetaka  kujiunga  na  program  hii, fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  jijini  Dar  Es  salaam, katika  eneo  la  Changanyikeni, karibu  na  Chuo  Cha  Takwimu, au  tuandikie  barua  pepe :neemaherbalist@gmail.com  au   tupigie   0766538384.
Kauli  mbiu  ya   program  hii  ni 
           “ FLATBELLY  IS  SEXY!
Kwa  maelezo  zaidi, tembelea 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Weka kiwango cha pesa mnazochaji. Watanzania kwa sanaa mmeshindikana. Kuna haja gani ya kuficha bei iwapo unadahni huduma yako ni ya ukweli na uhakika. Hakuna haja ya kupiga simu wala kutuma barua pepe kama nyinyi wenyewe si wawazi. Siku hizi Biashara ni matangazo yaliyokamilika.

    ReplyDelete
  2. flatbelly mbongo??????? labda awe na asili nalo ugari na nyama na serenget/kilimanjaro na zawadi kemkem za kila siku.

    ReplyDelete
  3. Labda wawe wamebadilisha dawa zao. Nilitumia nikaishia kuharisha sana. Unatakiwa unywe dawa asubuhi na unaharisha siku nzima hadi saa 10 jioni ndio inakatana tumbo linakata wakati wote. Matokeo = Sifuri

    ReplyDelete
  4. Mafuta ya ubuyu tuu hayo. Flat belly requires exercise and commitment(hata ukila ugari).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...