Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic kwa ushirikiano mkubwa na Taasisi ya Flatbelly Tanzania wamedhamiria kuwasaidia wadada kwa wakaka wanao taka kutengeneza shape za matumbo yao kwa kuyafanya kuwa flat pamoja na watu wote wenye nia ya kuondoa vitambi vyao, kupunguza unene na uzito kwa njia ya tibalishe na mazoezi, kuhakikisha wanafikia malengo yao.
Hili litafanyika kupitia mradi wa Flatbelly Project unao ratibiwa na Neema Herbalist kwa kushirikiana na Flatbelly Tanzania.
Programu hii inafanyika kwa lengo la kusogeza huduma zetu kwa wananchi walio wengi kwa urahisi na ukaribu zaidi. Kupitia program hii, tutahakikisha kuwa, kila memba anaye jiunga na program anaya fikia malengo yake kwa asilimia mia moja. Tutakuwa tukiweka picha za memba kabla na baada ya kujiunga na program ili kuwaonyesha watanzania ni kwa namna gani tumedhamiria kuimarisha afya za watanzania kupitia program hii. Gharama za kujiunga na programu hii ni rahisi sana na mtanzania wa rika lolote lile anaweza kujiunga.
Unapo chukua uamuzi wa kuja kujiunga na programu hii, unapaswa kuwa na uhakika kwamba utayafikia malengo yako kwa asilimia mia moja.
Kwa wewe unayetaka kujiunga na program hii, fika katika ofisi zetu zilizopo jijini Dar Es salaam, katika eneo la Changanyikeni, karibu na Chuo Cha Takwimu, au tuandikie barua pepe :neemaherbalist@gmail.com au tupigie 0766538384.
Kauli mbiu ya program hii ni
“ FLATBELLY IS SEXY!
Kwa maelezo zaidi, tembelea
Weka kiwango cha pesa mnazochaji. Watanzania kwa sanaa mmeshindikana. Kuna haja gani ya kuficha bei iwapo unadahni huduma yako ni ya ukweli na uhakika. Hakuna haja ya kupiga simu wala kutuma barua pepe kama nyinyi wenyewe si wawazi. Siku hizi Biashara ni matangazo yaliyokamilika.
ReplyDeleteflatbelly mbongo??????? labda awe na asili nalo ugari na nyama na serenget/kilimanjaro na zawadi kemkem za kila siku.
ReplyDeleteCost?
ReplyDeleteLabda wawe wamebadilisha dawa zao. Nilitumia nikaishia kuharisha sana. Unatakiwa unywe dawa asubuhi na unaharisha siku nzima hadi saa 10 jioni ndio inakatana tumbo linakata wakati wote. Matokeo = Sifuri
ReplyDeleteMafuta ya ubuyu tuu hayo. Flat belly requires exercise and commitment(hata ukila ugari).
ReplyDelete