Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mzee Khalfan Tengeneza Mchaga, mmoja wa wazee katika kijiji cha Msoga,kata ya Chalinze ,wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani leo wakati Rais alipomtembelea kumjulia hali.Rais Kikwete alikuwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki kijijini Msoga. Picha na Freddy Maro.
Home
Unlabelled
JK amtembelea mzee wa kijijini msoga mzee Khalfan Tengeneza Mchaga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
A man of the people!
ReplyDeleteI like that...congrats our hon presidents....uko vizuri kwenye kuheshimu watu wote!!
ReplyDeleteMh Raisi.Sasa mzee Tengeneza Mchanga tukumbushane kidogo. Unakumbuka nilipokuwa darasa la nne wewe ulikuwa unanikalipia sana nikipita hapo kuwa nakupigia kelele?
ReplyDeleteMzee T. '@*&%£^*$* haaa mambo ya udogo baana hembu tuendelee na mengine.
Mh Rais Teh Teh Teh Teh
Haya mheshimiwa JK,inaelekea huyo mzee alikusaidia nauli wakati unakamua book,Big up sana mkuu!
ReplyDeleteBest image for the leader.. excellent example to follow. Hapa Raisi mwingine angetaka carpet jekundu na sofa la leather. God bless you.. you are the man!
ReplyDeleteDown to Earth leader; na ndivyo inavyotakiwa.In fact Rais wetu ndivyo alivyo, the man of simplicity,asie na makuu. Na si yeye tu hata waliomtangulia hawakuwa na makuu. Jamani wale marais wa nchi nyingine za Kiafrika! especially west african countries, ni shughuli!
ReplyDeleteNi jambo la busara kuwakumbuka wazee wetu. Shukrani sana rais wetu.
ReplyDeleteMhe Rais katika mambo uliyonifurahisha katika uongozi wako ni hili la kutimua wahamiaji haramu,utakumbukwa kwa hilo mheshimiwa.kwa jinsi tulivyo wasaidia kejeli walizozitoa is too much,nakuomba usiishie kagera tu hili zoezi liendelee nchi nzima.Mungu akubariki Rais wangu
ReplyDeleteHata maandiko matakatifu yanatuhimiza tuwe wanyenyekevu na tupendane. Kwa hilo nampa big-up Rais wangu. Achana na huyo jirani yetu anayekusakama kwa ajili ya inferiority complex yake. Tupo pamoja nawe. Asante kwa kumjulia hali huyo babu
ReplyDelete"MUNGU AKUPE UWEZO NA MISHA MAREFU"
ReplyDeleteKuna mengi utakumbukwa na hili ni mojawapo kuwatembelea na kuwahudumia watoto wasiojiweza na wazee wetu walioweka misingi ya nchi yetu ya kupendana na amani.
Mhs rais Kikwete wazee wa jirani na hapo hawana uwezo lakini wana mapendo mkubwa kwa serikali na viongozi wake chini ya mwenyekiti wao serikali ya mtaa wa sofu-kibaha pwani wanakuomba na wanakusubiri. Swala za maombi kwa mwenyenzi Mungu wana imani zipite siku hata miaka utawakumbuka pia.
Mikidadi-Denmark
Pure" Tanzania. kua-kiongozi labda kunaweza kukubadlisha kuwa wewe ni nani wa kusahau, wakubwa, wadogo, na watoto wetu, tuliokua nao kwa misimu yote ya maisha" mhe,Kikwete kama viongozi wa taifa letu wote kwa ujumla! kazi ya taifa letu wanaiijua, na tunawapa hongera kwa hayo" kama viongozi wa taifa letu. Mdau holland.
ReplyDelete