Home
Unlabelled
jokate ndani ya mkasi na salama jabir pale pale amaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Binti yuko Smart ila anamambo ya kitoto toto sana kila kitu I dont know,yaani akajifunze kufanya interview. Kasoma lakini anashindwa na kina Zembwela?? I didn't expect that from her
ReplyDeleteHaka katoto kako so bright kanafanya nini kwenye jamii. misikajui
ReplyDeleteKako bright lakini dream anazotaka kuzifanya bongo is extremely impossible ataishia kuzeeka na kuolewa tu.
ReplyDeletenaona mnataka akabebe box na ninyi huko mdau wa...>>kuolewa na kuzeeka>>....
ReplyDeletewaju waju tu kaza buti dada.
ReplyDeleteTunazungumzia hali halisi, usanii bongo haulipi, tuna mifano chungu mzima kuanzia kwa:Odemba, Mr Nice, Saida, Richard Big brother, Ray c, Nancy Sumari, Irene Kiwia, K lyin.Hawa ni baadhi ya watu waliovuma sana kibongobongo hata East Africa, lakini they hand over no where. Tatizo hawa watu wakipataga umaarufu wa kibongo basi wanataka kujilinganisha na wakina Jz, pamoja life style kama unavyoona wanavyoojiana eti ,wana majina makubwa, .Majinna nmakubwa Tanzania?
ReplyDeleteHahahhahahahahahah kasheshe.Mtoto smart sana nilisoma nae chuo kikuuu UDSM na alikuwa anakimbiza mbaya.Kwa akili zake angejikita zaidi kwenye kufanya kazi am sure hata UN anaingia na angefika mbali.Sanaa bongo bado sana atajikuta anafanya hili anaacha ..Mfano alianza kuimba,mara kuigiza,mara fashion design(kidoti),mara ana nywele zake ,mara elimu huko Songea n etc so kwangu mimi naona kama umri unaenda na miaka inasogea na wakati angekaa ofisini ni bonge la mchapakazi...Hayo ni maoni tuuu mana ni binti ninaye mfahamu kwa uwezo wake mkubwa ...verryyyy smart
ReplyDelete