Katibu wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar Hussen Makame akiwaonesha wanafunzi eneo la kupanda miti katika jitihada za kuzuia mmong’onyoko huko katika skuli ya msingi Mtoni kidatu juu.
Katibu wa Jumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar Hussen Makame na mwanafunzi Hafsa Juma wakipanda mti katika eneo la Skuli ya Mtoni kidatu juu.
Mpiga picha wa Maelezo Zanzibar Makame Mshenga, akijumuika na wanajumuiya ya Uvuvi na Mazingira Endelevu Zanzibar katika zoezi la kupanda miti huko Skuli ya Msingi ya Mtoni kidatu juu.(Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...