Mheshimiwa Angelina Adam Malembeka diwani ya kata ya Msongola akipokea msaada wa jumla ya 2,380,000/= kama mchango wa madawati, kutoka kwa Esther Mmbaga kwa niaba ya wahitimu wenzeka waliomaliza shule ya msingi Bunge mwaka 1990 leo jijini Dar es Salaam wakati wa mahafali ya kuwaaga wanaohitimu darasa la saba.
Mheshimiwa Angelina Adam Malembeka diwani ya kata ya Msongola akisalimia na wanafunzi wa chekechea baada ya kuwapa zawadi ya shilingi laki moja kama motisha kwao leo jijini Dar es Salaam wakati wa mahafali ya kuwaaga darasa la saba. Mheshimiwa Malembeka alimuwakilisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo.
Picha Zote na Frank Shija - Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...